• HABARI MPYA

  Saturday, March 09, 2024

  GEITA GOLD YAWACHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI


  BAO la Valentino Mashaka dakika ya 90 na ushei limeipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Kwa ushindi huo, Geita Gold inafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya 14, wakati Dodoma inabaki na pointi zake 23 nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 20.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YAWACHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top