• HABARI MPYA

  Wednesday, September 01, 2021

  YANGA SC YAACHANA NA ATONIO NUGAZ


  KLABU ya Yanga imetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa Mhamasishaji wake Juma Khatib Nugaz 'Antonio Nugaz' baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa utumishi.
  Kwa mujibu wa taarifa kutoka Yanga, klabu hiyo imeamua kutomwongezea mkataba mpya Nugaz.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAACHANA NA ATONIO NUGAZ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top