• HABARI MPYA

  Tuesday, December 09, 2014

  MAN CITY YAPEWA VIBONDE RAUNDI YA TATU KOMBE LA FA, ARSENAL NA HULL CITY KUKUMBUSHIA FAINALI YA MWAKA JANA

  RATIBA ya kusisimua ya Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England imetolewa jana na Manchester United watasafiri kuwafuata ama Accrington au Yeovil, wakati Liverpool watamenyana na AFC Wimbledon, wakiwa na kumbukumbu ya fainali ya michuno huyo mwaka 1988 wakati Crazy Gang walipowakalisha mabingwa Uwanja wa Wembley.
  Kutakuwa na mechi ya marudio ya timu zilizokutana msimu ulipita katika Fainali Wembley kati ya Arsenal na Hull, timu za Ligi Kuu England dhidi ya zisizo kwenye ligi na mechi nne za timu za Ligi Kuu tuou. 
  Lakini katika mechi 32, nyingi kati ya hizo zitasogezwa mbele kutoka Jumamosi, Januari 3 kutokana na wingi wa mechi za Ligi Kuu katika siku ya mwaka mpya.
  The FA Cup third-round draw was made on Monday evening and produced some brilliant ties
  Ratiba ya Raundi ya Tatu ya Kombe la FA imetolewa na ni ya kusisimua
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAPEWA VIBONDE RAUNDI YA TATU KOMBE LA FA, ARSENAL NA HULL CITY KUKUMBUSHIA FAINALI YA MWAKA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top