• HABARI MPYA

  Tuesday, September 19, 2023

  TWIGA STARS YAIFUATA IVORY COAST MECHI YA KUFUZU WAFCON


  KIKOSI cha timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars kimeondoka leo kwenda Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) dhidi ya wenyeji Ijumaa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS YAIFUATA IVORY COAST MECHI YA KUFUZU WAFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top