• HABARI MPYA

  Friday, September 15, 2023

  SIMBA SC ILIVYOJIFUA LEO NDOLA KUWAKABILI WENYEJI POWER DYNAMOS KESHO


  KIPA wa Simba SC, Ayoub Lakred akiwa mazoezini Uwanja wa Levy Mwanawaswa Jijini Ndola, Zambia kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Power Dynamos.
  Mchezo huo wa kwanza Hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utachezwa Saa 10:00 jioni na kuonyeshwa LIVE na AzamSports2HD.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOJIFUA LEO NDOLA KUWAKABILI WENYEJI POWER DYNAMOS KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top