BEKI Mtanzania, Bakara Gamba Majogoro jana alipewa tuzo ya Man Of The Match timu yake, Chippa United ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya SuperSport United.
Bao pekee la Chippa United lilifungwa na mshambuliaji mkongwe, Mnamibia, Elmo Ukondja Kambindu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini Uwanja wa Nelson Mandela.
0 comments:
Post a Comment