• HABARI MPYA

  Monday, September 11, 2023

  MAXI NZENGELI MCHEZAJI BORA, GAMONDI KOCHA BORA LIGI KUU AGOSTI


  KLABU ya Yanga imeuanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kutoa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti, kiungo Mkongo Maxi Mpia Nzengeli na Kocha Bora, Muargentina Miguel Ángel Gamondi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAXI NZENGELI MCHEZAJI BORA, GAMONDI KOCHA BORA LIGI KUU AGOSTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top