• HABARI MPYA

  Thursday, September 07, 2023

  MAXI NZENGELI AMUAMBUKIZA SKUDU KUCHOMOKEA JEZI YANGA


  VIUNGO wa Yanga, Mkongo Maxi Mpa Nzengeli (kushoto) na Mahlatse 'Skudu' Makudubela Manoka raia wa Afrika Kusini wakiwa mazoezi viwanja vya Avic Town, Kigamboni Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya El Merreikh ya Sudan Septemba 16, mwaka huu Uwanja wa Pele Jijini Kigali nchini Rwanda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAXI NZENGELI AMUAMBUKIZA SKUDU KUCHOMOKEA JEZI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top