WENYEJI, Chelsea wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion bao pekee la mshambuliaji Msenegal mzaliwa wa Gambia, Nicolas Jackson dakika ya 50 usiku wa jana Uwanja wa Venue Stamford Bridge Jijini London.
0 comments:
Post a Comment