• HABARI MPYA

  Friday, September 22, 2023

  WAZIRI NDUMBARO AJIUZULU KAMATI YA RUFANI YA LESENI ZA KLABU TFF


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Dk. Damas Ndumbaro amejiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI NDUMBARO AJIUZULU KAMATI YA RUFANI YA LESENI ZA KLABU TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top