• HABARI MPYA

  Thursday, September 28, 2023

  COASTAL NA YANGA ZAONYWA, KOCHA WA AZAM APIGWA FAINI


  BODI ya Ligi imezionya klabu za za Coastal Unión na Yanga kwa makosa tofauti ya kikanuni, huku Kocha wa Makipa wa Azam FC, Khalifa Aboubakar akitozwa faini kwa utovu wa nidhamu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL NA YANGA ZAONYWA, KOCHA WA AZAM APIGWA FAINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top