• HABARI MPYA

  Thursday, September 14, 2023

  SIMBA SC WALOVYOONDOKA DAR LEO KUIFUATA POWER DYNAMOS NDOLA


  KIPA Mmorocco, Ayoub Lakred kwenye msafara wa Simba SC ulioondoka leo kwenda Zambia kwa ajili ya mchezo wa kwanza Hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Power Dynamos Jumamosi Uwanja wa Levy Mwanawaswa Jijini Ndola.
  PICHA: SIMBA SC WALIVYOONDOKA DAR KUIFUATA POWER DYNAMOS JIJINI NDOLA


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALOVYOONDOKA DAR LEO KUIFUATA POWER DYNAMOS NDOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top