• HABARI MPYA

    Friday, September 08, 2023

    MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO


    MTANZANIA Alice Gyunda miongoni mwa washiriki 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliofanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha taji la  miss /mrs africa shindano linalifanyika nchini Uingereza.                      Akizungumzia shindabo hilo Alice alisema kuwa amevutiwa kujiunga kwenye shindano hilo ambalo kuna vitu tofauti tofauti anatarajia kuvifanya.                      Alisema kuwa malengo yake kama watanzania watampigia kura na kushinda  ana mpango wa kuanzisha vituo vya kuibua vipaji kwa wasanii wa sanaa ya muziki kila mkoa 
    Amesema kupitia vituo hivyo vya kuibua vipaji kwa watoto pia vitakuwa na mkakati endelevu wa kutunza wasanii watakaopatika katika vituo hivyo kwa kuwawezesha kupata taalum ya sanaa ya muziki 
    Aidha Alice akafika mbali zaidi kwa kuanisha mikaka aliyonayo katika kuwaunganisha vipaji vitakavyopatikana haoa nchini na kuunganisha na taasisi nyingine za nchinj uingereza ambazo naziibua vipaji vya sanaa mbali ikiwamo muziki
    aidha anasema uanzishwaji wa vituo vya uibuaji vipaji vitakavyoanzishwa vitakamilika katika sekta zote za uwepo wa studio za kisasa kwa ajili ya kurekodi nyimbo ambapo pia kwa wasanii watakaofanya vizuri wataunganishwa kufanya mziki wa pamoja na wasanii wakubwa wa tanzania ikiwamo ulaya na afrika
    Anasema lengo la kuanzisha vituo hivyo vya kuibua vipaji ni kutaka kuandaa wasanii wengi wakubwa wa muziki wa bongo flavor , hip poo, singeri na rage ili kuweka akina hata kama wasanii wakubwa kama akina Diamond, Ally Kiba Harmonise  na wengine wakubwa wakichoka tanzania bado itakuwa na wasanii wakubwa chipukizi wa kuziba pengo hilo.


    shindano la miss/africa uk ni shindano linaloshirikisha waafrika wanaishi nchinj uingereza ambao walifanikiwa kuingia baada ya kukidhi vigezo vya kuingia kwenye shindano hilo ambalo linaandaliwa na taasisi ya africauk pageants ya nchini africa ya kusini 
    tayari awamu ya kwanza ya mchujo imepita  na kupatikana warembo 20 watakaoingia kwenye tano bora hadi kupatikana mshindi wa kwanza hadi wa tatu kura yako na anasema ushindi wake nj ushindi wa watanzania anaomba kupigiwa kura
    ushindi wa shindano hilo ni namna mshirika anavyopigiwa kura kupitia website ya https//afrikaukpageants. co. uk/poll/mrs-missafrica-finalist-2023
    hata hivyo bado nguvu ya watanzanishiri katika kumpigia kura mtanzania huyu imekuwa ni ndugu tofauti na namna ya ushiriki wa taifa jirani la uganda ambapo wanajitokeza kwa wingi kumpigia kura mshiriki wao 
    kutokana na changamoto hiyo mshiriki Alice gyunda amewaomba watanzania kutoka nchi mbali mbali kushiriki kumuunga mkono kwa kupimpigia kura nyingi za ndiyo kupitia link ilianishwa hapo juu ambapo mwisho wa kupiga kura ni Septemba 10.
    Anasema ushindwi wake ni fursa kwa watanzania ambapo kwa mujibu wa zawadi zilizoanishwa kwenye shindano hi pamoja na mshindi atakayetwaa taji hilo atapata fursa ya kuandika andiko la namna atakavyosaidia watoto wanaishi katika mazingira magumu katika nchi yake ya uraia 
    hadi sasa ni asilimia sita ya upihajira wa watanzania katika shindano hilo huku mshiriki wa uganda akiongoza kwa asilimia 39 huku akiwaacha mbali washiriki wengine akiwamo mtanzania alice Gyunda hadi sasa tayari mtanzania huyo ametoa msada wa vitu mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika Halmashauri ya Mkuranga ikiwamo unga, sabuni, mchele, mafuta ya kula  ili kusaidia makundi hayo 
    Mtanzania alice gyunda, taalum yake ni mwalimu ambapo kabla ya kwenda kuishi ughaibuni akiwa nchini tanzania amewahj kufundisha katika shule ya msingi Kawe na Osterbay
    pia mshiriki huyo anakipaji usanii wa sanaa ya nyimbo zenye maudhui ya uelimishaji lakini.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top