• HABARI MPYA

  Monday, September 18, 2023

  CHELSEA YAKATALIWA BAO IKITOA DROO NA BOURNEMOUTH


  BEKI Levi Colwill akishangilia baada ya kuifungia bao Chelsea dhidi ya wenyeji, AFC Bournemouth kabla ya kuambiwa alikuwa ameotea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya bila kufungana Jumapili Uwanja wa Vitality mjini Bournemouth, Dorse.
  Matokeo hayo yanaifanya Chelsea ifikishe pointi tano nafasi ya 14, wakati Bournemouth imefikisha pointi tatu nafasi ya 15 baada ya wote kucheza mechi tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAKATALIWA BAO IKITOA DROO NA BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top