• HABARI MPYA

  Wednesday, September 27, 2023

  NI TANZANIA, KENYA NA UGANDA WENYEJI WA AFCON 2027  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limezipa Tanzania, Kenya na Uganda uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.
  Pamoja na kuzipa nchi hizo za Afrika Mashariki uenyeji wa AFCON ya 2027, Rais wa CAF, Dk. Patrice Motsepe ameitaja Morocco kuwa mwenyeji wa AFCON ya 2025.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI TANZANIA, KENYA NA UGANDA WENYEJI WA AFCON 2027 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top