• HABARI MPYA

  Wednesday, September 27, 2023

  MAN UNITED YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-0 CARABAO CUP


  TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Crystal Palace usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
  Mabao ya Manchester United jana yamefungwa na mshambuliaji kinda wa miaka 19, Muargentina Alejandro Garnacho Ferreyra dakika ya 21, kiungo Mbrazil Carlos Henrique Casemiro dakika ya 27 na mshambuliaji Mfaransa Anthony Jordan Martial dakika ya 55.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-0 CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top