• HABARI MPYA

  Wednesday, September 13, 2023

  RAIS HERSI AMTEMBELEA MWENYEKITI WA ZAMANI YANGA MZEE KATUNDU


  RAIS wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam  na kuzungumza mambo mbali mbali kuhusu klabu hiyo.
  Mzee Jabir Katundu pia amewahi kuwa Katibu mkuu wa Yanga kati ya mwaka 1962 na 1966 chini ya Mwenyekiti Mohamed Mabosti, kabla ya kuwa Mwenyekiti kuanzia mwaka 1992 hadi 1996.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS HERSI AMTEMBELEA MWENYEKITI WA ZAMANI YANGA MZEE KATUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top