• HABARI MPYA

  Saturday, September 02, 2023

  SIMBA SC YAICHAPA KIPANGA YA ZANZIBAR 3-0


  TIMU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Kipanga ya Zanzibar Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Simba katika mchezo huo wa kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos Septemba 15 yamefungwa na Moses Phiri, Luis Miquissone na Aubin Kramo Kouamé.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAICHAPA KIPANGA YA ZANZIBAR 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top