• HABARI MPYA

  Sunday, September 24, 2023

  BRUNO FERNANDES AING’ARISHA MAN UNITED


  BAO pekee la Bruno Fernandes dakika ya 45 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Burnley 1-0 Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley.
  Ni ushindi ambao unaifanya Manchester United ifikishe pointi tisa katika mchezo wa sita na kusogea nafasi ya nane, wakati Burnley inabaki na pointi yake moja ikiendelea kushika mkia baada ya kucheza mechi tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRUNO FERNANDES AING’ARISHA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top