• HABARI MPYA

  Friday, September 15, 2023

  KMC YAICHAPA JKT TANZANIA 2-1 UWANJA WA UHURU


  TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

  Mabao ya KMC leo yamefungwa na Awesu Awesu dakika ya 39 na Waziri Junior dakika ya 45 na ushei, wakati bao pekee la JKT Tanzania limefungwa na Edward Songo dakika ya 85.
  Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi nne, wakati JKT Tanzania inabaki na pointi zake tatu baada ya wote kucheza mechi tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC YAICHAPA JKT TANZANIA 2-1 UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top