• HABARI MPYA

  Thursday, September 14, 2023

  AZAM FC YAICHAPA MBUNI 2-0 MECHI YA KIRAFIKI ARUSHA


  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbuni inayoshiriki Ligi ya NBC Championship katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
  Mabao ya Azam FC ambayo imeutumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya yamefungwa na Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo dakika ya 39 na mzawa Lusajo Mwaikenda dakika ya 44.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA MBUNI 2-0 MECHI YA KIRAFIKI ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top