• HABARI MPYA

  Wednesday, September 20, 2023

  MASHABIKI WANNE WA NAMUNGO WAFARIKI AJALINI WAKIIFUATA YANGA


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa salamu za pole kufuatia vifo vya mashabiki wanne wa Namungo FC na wengine 16 kujeruhiwa kwenyeajali iliyotokea eneo la Miteja karibu na Somanga mkoani Lindi wakiwa safarini kutoka Ruangwa kuja Dar es Salaam kushuhudia mchezo dhidi ya Yanga leo.

   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WANNE WA NAMUNGO WAFARIKI AJALINI WAKIIFUATA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top