• HABARI MPYA

  Sunday, September 10, 2023

  AZAM FC YAWAKABIDHI VIFAA BAO BAB QUEENS KWA AJILI YA LIGI


  AFISA Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amín ‘Popat’ jana Jumamosi alikabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya ya wanawake ya Bao Bab Queens ambayo wameingia nayo makubaliano ya ushirikiano ambavyo watavitumia kwa msimu huu wa Ligi Kuu ya Wanawake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAWAKABIDHI VIFAA BAO BAB QUEENS KWA AJILI YA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top