• HABARI MPYA

  Saturday, September 30, 2023

  MASHUJAA YATOA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO RUANGWA


  TIMU ya Mashujaa ya Kigoma imelazimisha sare ya bila kufungana na wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Mashujaa inafikisha pointi nane, ingawa inabaki nafasi ya nne, wakati Namungo FC inafikisha pointi mbili nafasi ya 14 baada ya wote kucheza mechi nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHUJAA YATOA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO RUANGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top