• HABARI MPYA

  Saturday, September 09, 2023

  ZULFA MACHO AMCHAKAZA MGANDA NDONDI KUFUZU OLIMPIKI 2024 PARIS


  BONDIA Zulfa Macho Yusufu wa Tanzania ameanza vizuri Mashindano ya kufuzu Olimpiki ya Paris 2024 kwa Bara la Afrika baada ya ushindi wa points 5-0 dhidi ya Grace Nankinga wa Uganda katika uzito wa Fly leo Jijini Dakar nchini Senegal.
  Kwa ushindi huo, binti huyo wa mwanasoka nyota nchini wa zamani aliyewika Simba, Yanga na Taifa Stars ameingia hatua ya 16 Bora na atapambana Adeiola Oyesiji wa Nigeria.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZULFA MACHO AMCHAKAZA MGANDA NDONDI KUFUZU OLIMPIKI 2024 PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top