• HABARI MPYA

  Sunday, September 17, 2023

  SINGIDA YAWACHAPA WAMISRI 1-0 KOMBE LA SHIRIKISHO CHAMAZI


  TIMU ya Singida Fountain Gate imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Future ya Misri katika mchezo wa kwanza Hatua ya mwisho ya kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.
  Bao pekee la Singida Fountain Gate limefungwa na Elvis Rupia dakika ya 53 na timu hizo zitarudiana wiki ijayo Jijini Cairo na mshindi wa jumla atakwenda hatua ya makundi ya michuano hiyo .
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA YAWACHAPA WAMISRI 1-0 KOMBE LA SHIRIKISHO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top