• HABARI MPYA

  Thursday, September 28, 2023

  LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA LEICESTER CITY 3-1


  WENYEJI, Liverpool jana wametoka nyuma na kuichapa Leicester City Mabao 3-1 na kutinga Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Anfield.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na Cody Gakpo dakika ya 48, Dominik Szoboszlai dakika ya 70 na Diogo Jota dakika ya 89 baada ya Kasey McAteer kuanza kuifungia Leicester City dakika ya tatu ya mchezo huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA LEICESTER CITY 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top