WAZIRI mpya wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro akipokea nyaraka pamoja na kusaini makabidhiano ya Ofisi Jijini leo Dodoma kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Balozi Dk. Pindi Chana anayehamia Wizara ya Katiba na Sheria.
VÍDEO: WAZIRI NDUMBARO ALIVYOWASILI WIZARA YA MICHEZO DODOMA LEO
0 comments:
Post a Comment