• HABARI MPYA

  Thursday, September 21, 2023

  ARSENAL YAIMIMINIA PSV 4-0 EMIRATES LIGI YA MABINGWA


  TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Kundi Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Emirates Jijini London.
  Mabao ya Arsenal yamefungwa na Bukayo Saka dakika ya nane, Leandro Trossard dakika ya 20, Gabriel Jesus dakika ya 38 na Martin Odegaard dakika ya 70.
  Mchezo mwingine wa Kundi hilo, wenyeji Sevilla walitoa sare ya 1-1 na Lens ya Ufaransa Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán mjini Sevilla, Hispania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAIMIMINIA PSV 4-0 EMIRATES LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top