• HABARI MPYA

  Monday, September 04, 2023

  SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA


  VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam.
  Simba SC inajiandaa na mchezo kwanza Hatua ya mwisho ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos Septemba 15 Jijini Ndola nchini Zambia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top