• HABARI MPYA

  Monday, September 11, 2023

  SANDALAND WAINGIA MKATABA WA SH BILIONI 3 NA TFF JEZI ZA TAIFA STARS


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited wameingia mkataba wa miaka mitano wa jezi za timu ya Taifa wenye thamani ya Shilingi Bilioni 3.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANDALAND WAINGIA MKATABA WA SH BILIONI 3 NA TFF JEZI ZA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top