• HABARI MPYA

  Friday, September 01, 2023

  MJERUMANI MIDDENDROP NDIYE KOCHA MPYA WA SINGIDA FOUNTAIN GATE


  KLABU ya Singida Fountain Gate imemtambulisha Mjerumani, Ernst Middendorp kuwa kocha wake mpya akichukua nafasi ya Mholanzi, Hans van ser Pluijm aliyejiuzulu wiki iliyopita.
  Middendorp alianza kama mchezaji kwenye klabu ya SG Freren kati ya 1977 na 1981, kabla ya kwenda TuS Lingen katí ya 1981 na 1982, baadaye VfB Rheine katí ya 1982 na 1985 na VfB Alstätte katí ya 1985 na 1987 - kabla ya kuwa kocha na amefundisha timu mbalimbali Ulaya na Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MJERUMANI MIDDENDROP NDIYE KOCHA MPYA WA SINGIDA FOUNTAIN GATE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top