• HABARI MPYA

  Thursday, September 07, 2023

  MAZOEZI YA TIK-TAK SIMBA SC KABLA YA KUWAVAA POWER DYNAMOS


  WACHEZAJI wa Simba SC wakifanya mazoezi ya kupiga tik-tak jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam kwenye maandalizi yao ya mchezo wa kwanza wa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Power Dynamos Uwanja wa Levy Mwanawasa
  Jijini Ndola nchini Zambia Septemba 16.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA TIK-TAK SIMBA SC KABLA YA KUWAVAA POWER DYNAMOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top