• HABARI MPYA

  Saturday, September 16, 2023

  MAN UNITED YABUTULIWA 3-1 NA BRIGHTON PALE PALE OLD TRAFFORD


  WENYEJI, Manchester United wametandikwa mabao 3-1 na Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford, Manchester.
  Mabao ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na  Danny Welbeck dakika ya 20, Pascal Groß dakika ya 53 na  João Pedro dakika ya 72, wakati bao pekee la Manchester United limefungwa na Hannibal Mejbri dakika ya 73.
  Kwa ushindi huo, Brighton & Hove Albion wanafikisha pointi 12 na kusogea nafasi ya nne, wakati Manchester United wanabaki na pointi zao sita nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi tano.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YABUTULIWA 3-1 NA BRIGHTON PALE PALE OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top