• HABARI MPYA

  Saturday, September 23, 2023

  SERENGETI GIRLS YAWACHAPA MOROCCO 2-1 CHAMAZI


  TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Serengeti Girls yamefungwa na Masika Khing na Sabina Alex, wakati la Morocco limefungwa na Bentahri Ovafaa na timu hizo zitarudiana Jumatatu hapo hapo Azam Complex.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI GIRLS YAWACHAPA MOROCCO 2-1 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top