• HABARI MPYA

  Friday, September 01, 2023

  AZAM TV SASA KUONYESHA LIGI YA KENYA MIAKA SABA BILIONI 23

  KAMPUNI ya Azam Media Limited jana imeingia mkataba na Shirikisho la Soka Kenya (FKF) wa haki ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya Kenya wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Bilioni 23 kwa muda wa miaka saba. 
  Mkataba huo umesainiwa jana Jijini Nairobi nchini, Kenya ukishuhudiwa pamoja na Maafisa hao Azam Media na FKF lakini pia walikuwepo viongozi wa klabu mbalimbali za Ligi Kuu ya Kenya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM TV SASA KUONYESHA LIGI YA KENYA MIAKA SABA BILIONI 23 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top