• HABARI MPYA

  Friday, September 15, 2023

  MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA KUIVAA MERREIKH KESHO


  KIPA wa Yanga, Djigui Diarra akiwa mazoezini leo Uwanja wa Pele Jijini Kigali nchini Rwanda kujiandaa na mchezo wao wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya El Merreikh ya Sudan.
  Mchezo huo wa kwanza Hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utaanza Saa 10:00 jioni na kuonyeshwa LIVE na AzamSports1HD.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA KUIVAA MERREIKH KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top