• HABARI MPYA

  Wednesday, September 20, 2023

  KOCHA MJERUMANI AONDOKA SINGIDA BAADA YA WIKI MBILI TU


  KLABU ya Singida Fountain Gate imeachana na Kocha wake Mjerumani, Ernst Middendorp baada ya wiki mbili tu za kuwa kazini tangu arithi mikoba ya Mholanzi, Hans van der Pluijm. 
  Ernst Middendorp alitambulishwa Septemba 1 na baada ya mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Future ya Misri Singida wakishinda 1-0 Jumapili ya Septemba 17 akaondoka kurejea kwao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MJERUMANI AONDOKA SINGIDA BAADA YA WIKI MBILI TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top