• HABARI MPYA

  Thursday, September 14, 2023

  YANGA SC KUMKOSA MWAMNYETO MECHI NA ELMERREIKH JUMAMOSI KIGALI


  NAHODHA wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto hatasafiri na timu jioni ya kwenda leo kwenda Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo na El Merreikh ya Sudan kutokana na kukabiliwa na matatizo ya Kifamilia.
  Kocha Muargentina Miguel Ángel Gamondi ameridhia Mwamnyeto kutokuwa sehemu ya kikosi kimachokwenda Kigali kwa ajili ya mchezo wa kwanza Hatua ya mwisho ya mchujo ya kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa Pele, Nyamirambo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KUMKOSA MWAMNYETO MECHI NA ELMERREIKH JUMAMOSI KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top