CHANGALAWE AMTWANGA MUALGERIA NA KUTINGA FAINALI KUFUZU OLIMPIKI PARIS 2024
BONDIA Yusuf Changalawe wa Tanzania amefanikiwa kutinga Fainali ya Mashindano ya kufuzu Michezo ya Olimpiki mwakani Paris baada ya ushindi wa Refa Kusimamisha Pambano (RSC) kumuokoa mpinzani, Mualgeria Younes Nemouchi katika pambano la uzito wa Light Heavy leo Jijini Dakar nchini Senegal. Nemouchi mwenye umri wa miaka 29 na aliyewahi kufuzu na kushiriki mashindano yaliyopita ya Olimpiki ya Tokyo 2020 aliokolewa na refa katika Raundi ya tatu baada ya kusukumiwa makonde mfululizo bila majibu na Changalawe.
Gallery: Training for London derby
-
Ahead of Sunday’s game against Chelsea, take a look through a selection of
photos from Sobha Realty Training Centre
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment