• HABARI MPYA

  Wednesday, April 05, 2023

  ANUARY JABIR WA KAGERA SUGAR AANZA MAJARIBIO UBELGIJI


  MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Anuary Jabir wa Kagera Sugar ya Bukoba 
  leo ameanza mazoezi ya majaribio ya kujiunga na klabu ya AA Gent ya Ubelgiji chini ya usimamzi wa wakala Mtanzania anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANUARY JABIR WA KAGERA SUGAR AANZA MAJARIBIO UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top