• HABARI MPYA

  Sunday, October 09, 2022

  MTIBWA SUGAR NA TANZANIA PRISONS ZATOKA SULUHU MANUNGU


  WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.
  Kwa sare hiyo, Mtibwa Sugar wanafikisha pointi tisa katika mchezo wa saba nafasi ya sita, sawa Tanzania Prisons ambao wenyewe wamecheza mechi moja zaidi nafasi ya saba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR NA TANZANIA PRISONS ZATOKA SULUHU MANUNGU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top