FEISAL MCHEZAJI BORA, JANZA KOCHA BORA SEPTEMBA LIGI KUU
KIUNGO wa Yanga SC, Feisal Salum Abdallah ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Septemba, huku Mzambia, Honoor Janza wa Namungo FC akishinda Tuzo ya Kocha Bora.
0 comments:
Post a Comment