• HABARI MPYA

  Tuesday, October 11, 2022

  YANGA SC YAZINDUA JEZI MAALUM KUMUENZI MWALIMU NYERERE


  KUELEKA kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, klabu ya Yanga imezindua Jezi maalum kumuenzi Rais huyo wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  Jezi hizo ambazo ni TOLEO MAALUM (SPECIAL EDITION) zipo chache na zinapatikana Makao Makuu ya Klabu hiyo, Jangwani Jijini Dar es Salaam, GSM Sports Salamander Tower - Samora, Msasani na Mlimani City kwa tshs 40,000 tu. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAZINDUA JEZI MAALUM KUMUENZI MWALIMU NYERERE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top