• HABARI MPYA

  Friday, October 07, 2022

  KMC NA RUVU SHOOTING HAKUNA MBABE, SARE 0-0


  WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  KMC inafikisha pointi saba katika mchezo wa sita na kusogea nafasi ya tisa, wakati Ruvu Shooting imetimiza pointi 10 kwenye mchezo wa saba nafasi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC NA RUVU SHOOTING HAKUNA MBABE, SARE 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top