• HABARI MPYA

  Saturday, October 15, 2022

  WACHEZAJI WATATU WA COASTAL WAAHIRISHA MECHI LIGI KUU


  BODI ya Ligi imeahirisha mechi mbili za Ligi Kuu za Coastal Union kwa sababu wachezaji watatu wa timu hiyo wamejumuishwa kwenye timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WATATU WA COASTAL WAAHIRISHA MECHI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top