• HABARI MPYA

  Saturday, October 08, 2022

  CHELSEA YAIBAMIZA WOLVES 3-0 STAMFORD BRIDGE


  WAKIWA Uwanja wa nyumbani, Stamford Bridge Jijini London, Chelsea wameibuka na ushindi wa mabao 3-9 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo.
  Mabao ya The Blues yamefungwa na Kai Havertz dakika ya 45 na ushei, Christian Pulisic dakika ya 54 na Armando Broja dakika ya 89 na kwa ushindi huo Chelsea inafikisha pointi 16 katika mchezo wa nane na kusogea nafasi ya nne.
  Kwa upande wao, Wolverhampton Wanderers baada ya kipigo cha leo wanabaki na pointi zao sita za mechi tisa nafasi ya 18.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIBAMIZA WOLVES 3-0 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top