• HABARI MPYA

  Sunday, October 16, 2022

  AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA


  WENYEJI, Azam FC wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Al Akhdar ya Libya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya Azam FC yamefungwa na Idris Mbombo dakika ya 28 na Ededen Essien aliyejifunga dakika ya 59 na kwa matokeo hayo Al Akhdar inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kushinda 3-0 kwenye mechi ya kwanza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top