// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
KAGERA SUGAR YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEKAGERA SUGAR YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TIMU ya Kagera Sugar imezinduka na kupata ushindi wa kwanza wa msimu baada ya kuichapa Polisi Tanzania mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na kiungo Abdulaziz Makame dakika ya 10 na mshambuliaji Mbaraka Yussuf dakika ya 52. Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi tano na kusogea nafasi ya 13, wakati Polisi inayobaki na pointi zake mbili baada ya wote kucheza mechi sita, sasa inachukua nafasi ya Ihefu mkiani mwa ligi.
Moroccan giants Wydad Casablanca target Percy Tau
-
Moroccan giants Wydad Casablanca have identified Al Ahly’s Percy Tau as a
target for the current summer transfer window. Percy Tau’s future in Cairo
is i...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment