• HABARI MPYA

  Saturday, October 29, 2022

  TANZANIA YAPIGWA 2-0 NA NIGERIA IBADAN, YATOLEWA AFCON U23


  TANZANIA imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya kuchapwa 2-0 na wenyeji, Nigeria leo Uwanja wa Liberty Jijini Ibadan nchini Nigeria.
  Kwa matokeo hayo, Manyara Stars inatolewa kwa jumla ya mabao 3-1 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam wiki iliyopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAPIGWA 2-0 NA NIGERIA IBADAN, YATOLEWA AFCON U23 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top